money4music.com

Make Money Uploading TABs, Chords, Lyrics and Scores


Jay S
"Mpenzi Wangu" Verse TWO
Hip-hop Lyrics
Report
Register to upload music/lyrics and to make some money.

Please rate out of 5 (where 5 is amazing and 1 is terrible).

Nimeskia mengi kutoka kwa marafiki
Wanasema ni malaa
Sifai kuwa nawe, kamwe maishani
Furaha yao ni kutuona, tumeachana
Njiani watuonge wakifurahia
Hebuka na hao, marafiki wabaya
Nao taka kuharibu, ndo yetu
Hawajui kule tulipotoka nawe


Make MoneySearchLoginRegisterContact